Posts

Showing posts from February, 2020

TOXIC RELATIONSHIPS AMONG THE UNIVESITY STUDENTS.

Image
Google In this world everyone loves to be loved and above all love conquers everything. When i say this i mean that one can do everything just for love but what people Forget is that every relationship has its owne roughness and when it becomes more rough,this may be the time to evaluate. In a toxic relationship, both parties develop unhealthy behaviors  and treat each other disrespectfully. One partner in the relationship can engage in a more toxic behavior thus removing the life and joy out of it. Toxic relationship have become very rampant among the university students. We have had many cases of  the students killing each other just because of love and unhealthy behaviors. Some of this behavior include: feeling unsutisfied by one partner or even feeling so possessive. A good example is that one of Ivy Wangeshi who was a student  and she was killed by her boyfriend Naftali Kinuthia using an axe and a knife due to allegations that he suspected that Ivy was pl...

AFATHALI SINGEKULETA DUNIANI 😭😭😭 😭

Image
Amakwakweli hawakukosea wahenga waliposema wazazi ni dhahabu lakini kuwatunza ni dhawabu. Kutana naye mzee Kimathi anayeishi katika mtaa wa Tudor jijini Mombasa. Kimathi alifanikiwa kupata mtoto mmoja na ambaye alingangana kumsomesha. Mvulana huyu alifanikiwa kujiunga na chuo Cha upadri na baadae akahitimu kua kasisi mkubwa. Siku moja ilitokea tuhuma ya kwamba Kimathi ni mchawi na hii ikamsababishia yeye kutengwa na familia yake. Kimathi aliamua kuhama kwake kitui na akaja Mombasa ambapo alianza kufanya vibarua mbalimbali ili kujikimu kimaisha. Baada ya miaka kusonga uzee ulianza kumwandama na kwa bahati mbaya akaanza kuugua. Hii ilimlazimu Kimathi kuachana na vibarua vyake nakusalia kibandani chake ili apate nafuu. Ugonjwa ulimzidia na hivyo akaamua kwenda kumtafuta mwanae ili aweze kupata usaidizi. Alipo onana na yule mwanawe, mwanawe alimkana nakusema kua yeye hawezi kuwa na baba mchawi na hivyo hanausaidizi wowote kwa mchawi. Maneno haya yalimkera saana Kimathi na kumfa...