AFATHALI SINGEKULETA DUNIANI 😭😭😭 😭

Amakwakweli hawakukosea wahenga waliposema wazazi ni dhahabu lakini kuwatunza ni dhawabu. Kutana naye mzee Kimathi anayeishi katika mtaa wa Tudor jijini Mombasa. Kimathi alifanikiwa kupata mtoto mmoja na ambaye alingangana kumsomesha. Mvulana huyu alifanikiwa kujiunga na chuo Cha upadri na baadae akahitimu kua kasisi mkubwa.

Siku moja ilitokea tuhuma ya kwamba Kimathi ni mchawi na hii ikamsababishia yeye kutengwa na familia yake. Kimathi aliamua kuhama kwake kitui na akaja Mombasa ambapo alianza kufanya vibarua mbalimbali ili kujikimu kimaisha.

Baada ya miaka kusonga uzee ulianza kumwandama na kwa bahati mbaya akaanza kuugua. Hii ilimlazimu Kimathi kuachana na vibarua vyake nakusalia kibandani chake ili apate nafuu. Ugonjwa ulimzidia na hivyo akaamua kwenda kumtafuta mwanae ili aweze kupata usaidizi. Alipo onana na yule mwanawe, mwanawe alimkana nakusema kua yeye hawezi kuwa na baba mchawi na hivyo hanausaidizi wowote kwa mchawi.

Maneno haya yalimkera saana Kimathi na kumfanya kulia kwa uchungu huku akikumbuka vile alivyo ngangana kumsomesha mwanawe lakini sasa anamwona Kama jaa la taka. Alimlaumu mungu kea kumpa mwana na akatamani asingemleta duniani. Hivi sasa Kimathi yuaishi kibandani chake huku akiwangoja wahisani wema waje wamsaidie.

Comments

  1. Waaah😭😭😭 so touching

    ReplyDelete
  2. Enter your comment... Lesson learned,,

    ReplyDelete
  3. am in tears 😭😭😭

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...Moral lesson learned,,,

    ReplyDelete
  5. Girls out here touching souls... Good piece

    ReplyDelete
  6. God work continue with the spirit

    ReplyDelete
  7. So sad to see how we forget easily what parents do for us

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

LITTLE HELL FAR AWAY FROM HOME

TOXIC RELATIONSHIPS AMONG THE UNIVESITY STUDENTS.